Nahitaji msaada wa haraka wapendwa

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
1. Nina kabiliwa na tatizo la korodani yangu ya upande wa kushoto kuwa ndogo na laini kuliko ya upande wa kulia sambamba na uwezo wa kugegeda kupungua.

2. Ninalo tatizo la kuwa na mate lain yanye mchanganyiko na kamasi kwenye koo na hayaishi, tatizo huongezeka zaidi ninapokula vitu vyenye sukari.

Naomba msaada wenu wapendwa
 
Mkuu hii ngum kumeza kabsa hii Duuuh!!! Itakua kisukali kinakalibia nakushauli uende hospital kamuulize docta halafu uje na mrejesho Mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…