Nahitaji msaada wa jinsi ya kuanzisha biashara

EMKM

Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
80
Reaction score
8
Mfukoni nina kama laki na nusu nataka kuanzisha biashara ya duka kubwa la kuuza jumlajumla.

What to do here ?
 
Duka la jumla lakuuza nini??
 
Mmmm laki na nusu dollar au pound sijaelewa hapo mkuu
 
Mfukoni nina kama laki na nusu nataka kuanzisha biashara ya duka kubwa la kuuza jumlajumla.

What to do here ?

Usihofu wala kuteteleka, THIBITI LENGO LAKO biashara ni wazo = idea wala hata kidogo SIO MTAJI WA MIPESA KAMA WALIOWENGI WADHANIAVYO, hakika ndoto yako Itatimia, anza na hicho ulichonacho uwelewa, uzoefu, network, n.k kama uko Dar nitafute.
 
Mfukoni nina kama laki na nusu nataka kuanzisha biashara ya duka kubwa la kuuza jumlajumla.

What to do here ?

Fafanua hapo kwenye duka kubwa,maana laki na nusu na Huo mtaji unaosema ni ndoto za rinacha kufungua duka kubwa Lakin Hiyo ela inatosha kwa biashara
 
Elfu 10 panga chumba cha giza elfu 15, nunua pafyumu kali elfu 5, vifuko vya salfeti vitano, elfu 40 pikpik ya kukodi 60 iliobaki njoo nkuelekeze sehemu ukachukue bange kuna jamaa yangu anavuna maana hmna jinsi baada ya mwaka unakua na mtaji wa kusafirisha na mikoa mingine
 
Mmmm laki na nusu dollar au pound sijaelewa hapo mkuu

yaki tz.xaxa hayo ma pound au madollar mimi haijui yanamasifur mangapi ndo nimeanza maisha
 
mawazo mazuri saana
 
je wewe unamaisha mazuri,unaendesha hiyo biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…