Habari za leo, naomba kufahamu kuna msaada gani kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa muda mfano wa miezi sita alafu mkataba wake umesema NOT RENEWABLE lakini kila ikiisha miezi sita anapewa mwingine kwa kazi ile ile nao pia NOT RENEWABLE kwa miaka mitatu. Namwisho wa siku anaondoshwa kazini.