yaani kama mimi tuuMimi Bashite wa sheria.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
jibu kisomi jamani auuuuuuuuuu duh pole lakini maana kama nyie mpooo hatuwezi kuwakwepaThey put it that way to make it easy for them to fire and hire!
Hapo hakuna kesi. Nenda tu ukatafute kazi nyingine. Au ulikuwe huelewi tofauti ya kazi ya mikataba na ile ya permanent and pensionable?
Kimsingi, hicho kifungu katika mkataba ambacho kinasema 'not renewable' hakiwezi athiri haki zako ama hakiathiri matakwa ya sheria. Jambo la kuzingatia ni kwamba ni lazima ulipwe utumishi wako ama nguvu kazi uliyotoa.habari za leo, naomba kufahamu kuna msaada gani kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa muda mfano wa miezi sita alafu mkataba wake umesema NOT RENEWABLE lakini kila ikiisha miezi sita anapewa mwingine kwa kazi ile ile nao pia NOT RENEWABLE kwa miaka mitatu. Namwisho wa siku anaondoshwa kazini.
Unapotaka kusaidiwa, jaribu kuandika kama mtu mwenye heshima. Uandishi wa aina yako huwa unawaponza wengi. Huwa hawasaidiwi kwakuwa wanaonekana watu wasio serious. Shaurika!Au ni seme haki yangu ni ipi???
Ni stahiki zipi ambazo napaswa kuzidai?????? alizokuwa akiniwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii au???
Napaswa kuchukua hatua wakati gani pale anaposema haniitaji au kabla(ndani ya mkataba wangu)????
Hatua ipi ambayo inaweza kuchukuliwa kwa muajiri wa namna hiyo????
unazungumza na mimi bro au?????Unapotaka kusaidiwa, jaribu kuandika kama mtu timamu na mwenye heshima. Uandishi wa aina yako huwa unawaponza wengi. Huwa hawasaidiwi kwakuwa wanaonekana watu wasio serious. Shaurika!
kama kuna mahali nimekosea basi niwie radhi mey be sifahamu, ila nikujulishe kuwa utimamu na heshima haupimwi na maandishi bro!!!! Na kama ndio sms ya kwanza kukutana nayo kutoka kwangu basi pole huo ni muendelezo wa maswali yangu kwa aliyenipa msaada wa majibu. nikutakie siku njema na pole kwa kusumbua mawazo yako kutokana na maswali yangu. Ahsante na ubarikiwe saaanaUnapotaka kusaidiwa, jaribu kuandika kama mtu timamu na mwenye heshima. Uandishi wa aina yako huwa unawaponza wengi. Huwa hawasaidiwi kwakuwa wanaonekana watu wasio serious. Shaurika!
Sheria haitoi nafasi ya mwajiriwa kudai mkataba wa kudumu kwa sababu ulizosema au sababu zozote, isipokuwa sheria imeweka muda ambao mkataba wa ajira unatakiwa kuzingatia na si chini kwa miezi 12 kwa mkataba wa kazi na muda maalumu.ok, nimekuelewa!
Na je, nina haki ya kusimama na kudai haki kwa mfano kudai ajira ya kudumu kutokana na kuitumikia kampuni kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili kwa mkataba wa muda mfupi au?
ok!Sheria haitoi nafasi ya mwajiriwa kudai mkataba wa kudumu kwa sababu ulizosema au sababu zozote, isipokuwa sheria imeweka muda ambao mkataba wa ajira unatakiwa kuzingatia na si chini kwa miezi 12 kwa mkataba wa kazi na muda maalumu.
Suala la msingi ni kufahamu haki zako za kisheria, usifanye jambo kiholela mfano kusaini mkataba wa ajira kabla ya kumuona mwanasheria awali na si kufanya ati baadae ndo umuone waweza jikuta unapoteza haki zako.ok!
je nini napaswa kufanya tafadharii
ahsanteeeSuala la msingi ni kufahamu haki zako za kisheria, usifanye jambo kiholela mfano kusaini mkataba wa ajira kabla ya kumuona mwanasheria awali na si kufanya ati baadae ndo umuone waweza jikuta unapoteza haki zako.