Nahitaji msaada wa kisheria ndugu zangu

Mke wa diwani namba yake inafanya nini kwenye simu Yako nyoosha maelezo kama unamkula au la tukushauri.
Kaka sijamkula wala kuwaza tu hizo mambo ,hapo Nikua alikua anatumia namba ngeni napia namba ambazo zilikua anaitumia nnazo kwa maswala ya kiusalama zaidi ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri .jambo nizito sana
 
Kuna muda kwenye maisha usalama wa uhai wako ni bora kuliko chochote kile.

Kazi utapata nyingine, sio uhai.

Fungasha virago uondoke ndugu.
Kuondoka nnaondoka ila sasa kesi hiii nnaifatiliaje katika ngazi za kisheria mkuu maana nahisi kudhulumiwa nakuonewa kwa kutungiwa uongo kinachoniuma zaidi nikuzidi kuwaona watesi wangu wakila Bata mtaani hadi nahisi hivi hivi Tanzania au niko nchi za nje,how come mtu afanye tukio kubwa(mhalifu) halafu anaendelea kula maisha halafu mm nikiyetishiwa maisha ndio niishi kwa wasiwasi
 
Hiyooo mikoa ina uchaw mwng sn ......wanaishi kifilist sana
Halafu jamaa nasikia nimganga na mchawi nahuenda huko police sijui amewaroga mana kusema ukweli ndio maana nimepiga akili naona kama nazungushwa namna fulani hivi
 
Mazoea mazoea na MKE wa mtu yatakatisha maisha yako nenda kazin fanya kazi Rudi nyumban acha mazoea ya kijinga
Nimekusoma mkuu,sina mazoea ya kijinga ila ucheshi kwakweli unaniponaza namikoa yahuku yaani kusingiziwa suala la ugoni nikama vile tija sana maana inaonekana kama wanakupaka mavi hivi
 
Kama una namba ya mke wa mheshimiwa diwani uwezekano wa kumtomber huyo mke wa mheshimiwa ni mkubwa.BULUGU nakusihi,hama nyege zisisababishe tupeleke maiti ng'wanza.NCHI HII UKITAFUTA HAKI UTAIPATA UKIWA UNALIWA NA BAKTERIA
Hapa nifanyeje nduguyngu maana nazidi kuchanganyikiwa ,ushauri namba moja ni kuhama hapa kwenda SEHEMU ingine of which nimeupokea kwa mikono miwili ,ila sasa tukio nililotengenezewa nilauongo malenye chuki binafsi .....kwa mara ya kwanza nimeanza kuhusu kwenda kwa mganga
 
Sikumuona ila waliowaona wanasimulia kua walitumwa na diwani kuja kuniua kwa kunichoma kwa moto.na voice notes zipo nawashaenda kuhojiwa ila nashangaa wapo tu mtaani wanakula maisha kusema ukweli nishaenda kuomba kuhamia SEHEMU ingine kwa DMO
Unataka ushauri wa kisheria pekee pasipo gharama ama upo tayari kuingia gharama ili mwanasheria alibebe hilo suala lako naamini kama kuna ushahidi wa voice note nakadhalika unaenda kushinda kesi na fidia utalipwa.
 
RIP MAGUFULI. POLE SANA KAKA MUNGU AKULINDE
 
Mzee achana na haki kwanza uko ugenini usijifanye kichwa ngumu.umeenda kwa mganga kufanyeje?
 
Umri wako Bado Sio mkubwa sana nakushauri kama Mjomba,Kaka,baba na hata Rafiki yako au hata Kada mwenzko wa afya..

Mikoa ya pwani Ina chokochoko sana na nakubali hiyo maana nimeishi mikoa ya pwani karibu yote na nawajua vizuri ila kuna mashaka nayapata kuhusu Hadithi yako na Mke wa Diwani..

Kwa ninavyojua Mtu husingiziwa au Husambaziwa kitu ambacho kina uhalisia au kina karibiana na uhalisia kwa hiyo kikichanganywa na uongo ni vigumu kujua Ukweli upi na uongo upi....

VIjana wengi wa Bara Tukifika Pwani tunakuwa kama tumewekewa Pilipili tena kama tukiwa tunajua kuwa tuna kijinafasi kwenye jamii bhasi tunaona ndo njiia mojawapo ya kukandamiza wengine...

Huenda ni kweli ulitembea na Mkewebila kujua kama ni mkewake omba radhi yaishe Kujimwambafai kwa Mikoa hiyo ya Lindi,mtwara na Tanga kunaweza kusababisha ukapata madhara makubwa sana....

Pia Mcheck DMO, Muambie kila kitu atakufanyia taratibu za uhamisho wa ndani ya halmashauri..

Kuwa muwazi kaka sisi mbona tumekaa pia huko huko miaka kadhaa kabla hatujakaa sehemu zingine
 
Kaka sijamkula wala kuwaza tu hizo mambo ,hapo Nikua alikua anatumia namba ngeni napia namba ambazo zilikua anaitumia nnazo kwa maswala ya kiusalama zaidi ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri .jambo nizito sana
Kama haujatenda Mungu yupo upande wako.
Mtafute mke wake awe shahidi upande wako.
 
Nipeni msaada wahatua za kuchukua zakisheria hasa kama kuna mazingira ya rushwa kutaka kulizima hili swala
 
๐จ๐ง๐๐จ๐ค๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ก๐ข๐ฅ๐จ ๐ž๐ง๐ž๐จ ๐ฆ๐š๐ซ๐š ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š
 
Unataka ushauri wa kisheria pekee pasipo gharama ama upo tayari kuingia gharama ili mwanasheria alibebe hilo suala lako naamini kama kuna ushahidi wa voice note nakadhalika unaenda kushinda kesi na fidia utalipwa.
Asante sana aidha namba za simu zilizotumika kufanya mawasiliano zipo namba za simu zilizokua zinawasilinaa namimi kabla ya tukio kunitahadharisha juu ya watu wabaya kuja kunidangia tukio zipo mkuu
 
Mke wake yuko upande wangu ila sasa kama unavyojua huenda akageuka labda kadri siku zinavyozidi kwenda mbele
Achana na makesi sijui kusaka haki we fanya uhame ndani ya mkoa,watu wa pwani Wana viwanda vya bifu hautowaweza ukiwaweza kisheria watakushinda kwa uchawi.
Kazi sio ya baba yako omba uhamisho.
Mazoea yeyeto na wake za watu au ukaribu wowote kwa waswali utafsiriwa mnakulana.
 
Ni kweli i'm 31 near to celebrate my 32 birthday ...kuna jamaa mmoja nilikua nnamsimulia faragha hii inshu akanishauri the same as you ila sasa kwa upande wake alisema endapo haujafanya nakweli unakiri haujafanya komaa upate haki yako,ila kama umemto-m-mba kimbia mara moja,kusema ukweli mm sijafanya kabisa sina haja ya kuficha hapa ndio maana roho inaniuma , nahili nitukio lakutengeeneza kufuatia kudorola kwa mapato katika pharmacy yajamaa aliyekua anahudumu pale kijijini kabla ya ujio wangu katika kile kituo kwayo mm ndio kama nekua barrier yayy kuuza dukani kwake badala yake wagonjwa wanakuja kituo cha afya/zahanati kupata huduma
 
DMo nitamcheki aisรฉe nipate kuamsha hapa maana niko kwenye mazingira hatarishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ