Nahitaji msaada wa kisheria wa haraka

Nahitaji msaada wa kisheria wa haraka

shoohenry

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
58
Reaction score
12
Nahitaji msaada wa kisheria au kwa mwenye uzoefu wa masuala ya kudai, au ushauri nipate wapi taasisi inayojihusisha na masuala ya madai.

Kwa anayeweza na mwenye uzoefu kisheria nahitaji msaada tukae mezani.

Namba yangu ni +255745266260
Iwe ni mtu taasisi au kikundi nahitaji msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale Ilala Boma upande wa kituo cha sokon Uhuru road nadhan walimu house kuna kampuni pale hpo kama floor ya 6 hvi inadeal na hyo kitu unayotaka. tempus figut
 
Back
Top Bottom