shoohenry Member Joined Jun 21, 2016 Posts 58 Reaction score 12 Jan 15, 2020 #1 Nahitaji msaada wa kisheria au kwa mwenye uzoefu wa masuala ya kudai, au ushauri nipate wapi taasisi inayojihusisha na masuala ya madai. Kwa anayeweza na mwenye uzoefu kisheria nahitaji msaada tukae mezani. Namba yangu ni +255745266260 Iwe ni mtu taasisi au kikundi nahitaji msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji msaada wa kisheria au kwa mwenye uzoefu wa masuala ya kudai, au ushauri nipate wapi taasisi inayojihusisha na masuala ya madai. Kwa anayeweza na mwenye uzoefu kisheria nahitaji msaada tukae mezani. Namba yangu ni +255745266260 Iwe ni mtu taasisi au kikundi nahitaji msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Jan 16, 2020 #2 Pale Ilala Boma upande wa kituo cha sokon Uhuru road nadhan walimu house kuna kampuni pale hpo kama floor ya 6 hvi inadeal na hyo kitu unayotaka. tempus figut
Pale Ilala Boma upande wa kituo cha sokon Uhuru road nadhan walimu house kuna kampuni pale hpo kama floor ya 6 hvi inadeal na hyo kitu unayotaka. tempus figut