Nahitaji msaada wa kisheria

Nahitaji msaada wa kisheria

Diga Diga

Senior Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
187
Reaction score
65
Wana Bodi,

Nahitaji msaada wa kisheria hasa kuhusu Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini. Kama wewe ni mzoefu/wakili ambaye umebobea kwenye eneo hili la migogoro kazini tafadhali ni-pm tuendelee.
 
Back
Top Bottom