Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara

Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara

benitoc

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
48
Reaction score
15
Habari zenu wanajamvi!
Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara. Kwa sasa sina pesa ya kulipia. Nitakuwa vizuri kifedha mwezi July. Nimeandika kwa 90%, mpango mzima. Mpango wangu wa biashara unahusu gas ya kupikia (LPGas). Kwa mwenye u tayari tuwasiliane kwa WhatsApp number +255785670038.
Asante
 
Back
Top Bottom