Naomba mwenye kufahamu wapi ninaweza kupata pete nzuri za ndoa. Natafuta pete za silver au white gold. Sasa sifahamu mahala pazuri na pa uhakika pa kupata pete izo.
Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote atakaenisaidia.
Nenda kariakoo mtaa wa mkunguni au indiragand kuna duka "Turkey Jewelers" wanauza kwa bei nzuri ni wataalam, dhahabu wanauza 55000 kwa grm na silver 35000
Nenda kariakoo mtaa wa mkunguni au indiragand kuna duka "Turkey Jewelers" wanauza kwa bei nzuri ni wataalam, dhahabu wanauza 55000 kwa grm na silver 35000