Inagoma na errors gani?
Mi natumia opera Mobile na iko vema. Pia niliwahi kutumia Opera mini bila tatizo.
Lakini sio Ericksson
Vipi mkuu ni version gani. Na kingine nitajuaje kama inatoka urusi maana nikisearch zinakuja nyingi
operamini mod Opera Mini en
Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi mpaka niinstall tena nyingine ambayo pia inaweza kunigomea kufunguka. Hivyo basi nilikuwa naomba msaada wenu namna ya kupata mobile web browser tofauti na opera mini. Natanguliza shukrani.
operamini mod Opera Mini en
Mkuu umejaribu UC browser, mimi ninanayo sonyericsson p900 ya 2005, natumia opera mini version 4 na 3 bila matatizo,pia natumia UC browses safi kabisa. na juzi kati nimeinstall opera mini mod hii ni mwisho wa matatizo.Asante ila ningependelea web browser tofauti na opera maana naona zinanisumbua
Mkuu umejaribu UC browser, mimi ninanayo sonyericsson p900 ya 2005, natumia opera mini version 4 na 3 bila matatizo,pia natumia UC browses safi kabisa. na juzi kati nimeinstall opera mini mod hii ni mwisho wa matatizo.
Jaribu kugoogle "browser for mobile phone" naamini utapata altenative.
Best wishes
no! Dont be lazy newbie! Mwisho wa page kuna english version.Ok, asante mkuu nimeiona sema lugha ni ya kirusi nitaifuatilia