Nahitaji msaada wa mwanasheria kuhusu nyumba ya urithi

Nahitaji msaada wa mwanasheria kuhusu nyumba ya urithi

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Wakuu kuna nyumba ya urithi iko maeneo mazuri hapa Jijini Dar es Salaam, mgao ni kupanga mimi pamoja na ndugu zangu wawili, na ni nyumba ya kuuza ni zaidi ya M 300, yaani million mia tatu.

Nahitaji Mwanasheria, naomba mwanasheria anicheki kwa 0713415537.
 
Yani nyie hampo serious
 
Semeni Kama Mnauza Tuwatafutie Wateje
By Madalali
 
Yaani Ndugu mwanasheria akutafute wewe,! Duuuu!

Akutafute kwa kukushauri au kiaje, kutokana na kanuni za mwanasheria wala hawezi kukutafuta, na kama atatokea wa kukutafuta huyo siye mwanasheria bali ni tapeli.
 
Katika pita pita zako hujaona bango hata moja lenye yanayoishia na maneno kama:
....... Law chambers
...... Law firm
...... Advocates
...... Law associates
...... Attorneys
 
Hebu watafute law guards advocates maeneo ya upanga watakusaidia sana.by the way doctor hamtafuti mgonjwa what u need to do ni kuwatafuta wao
 
Back
Top Bottom