Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
283
Reaction score
209
Habari wadau!
Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde?
Msaada jamani
 
Uko wapi wewe?….Mimi Niko Tunduma nafanya clearing and forwarding hapa border ni check 0672673246 WhatsApp
 
Dili hilo unataka kumpiga pesa ya kufa mtu
Unalamba asali au sio??
 
Nenda pale tamesa, kuna magari mengi tu yanapakia mizigo ya Nakonde, unashushia upande wa Tanzania, au kuja inbox nikupe maelekezo, niliwahi safirisha vzr tu na kwa Bei rahisi
 
Nakuja inbox
 
Nenda Kariakoo au Jangwani nyuma ya kituo cha mwendokasi... Magari ni mengi saaaaaaaaaaana...

Acha kupenda vitonga,, nenda mwenyewe... Baadhi ya watu humu ni wezi, usije kesho ukarudi unalialia...
 
Habari wadau!
Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde?
Msaada jamani
Vipi mkuu umepata wa kusafirisha? Mi Niko Tunduma na kampuni yetu ipo dar unaweza nicheki 0755340150
 
Nenda Kariakoo au Jangwani nyuma ya kituo cha mwendokasi... Magari ni mengi saaaaaaaaaaana...

Acha kupenda vitonga,, nenda mwenyewe... Watu wa humu wengi ni wezi, usije kesho ukarudi unalialia...
Rekebisha kauli yako, unajuwa JF ina members wangapi? Umetowa wapi hii methodology ya kusema members wengi humu ni wezi?
 
Mkuu wewe ni mkongwe sana humu,, nini kinafanya ushindwe kulijua na kuelewa nilichozungumza...

Tafsiri ya WENGI kwako inaanzia ngapi.??
 
Lugha sahihi ungesema kuna baadhi ya member wachache na siyo wengi.
 
Nenda Kariakoo au Jangwani nyuma ya kituo cha mwendokasi... Magari ni mengi saaaaaaaaaaana...

Acha kupenda vitonga,, nenda mwenyewe... Watu wa humu wengi ni wezi, usije kesho ukarudi unalialia...
Na uhakika na usalama wa mizigo upo!
Yaani gari zipo za muda wote!

Kweli akiendekeza njoo pm, ataanzisha Uzi, mdau huyu tapeli!
 
Back
Top Bottom