Nahitaji msaada wenu jamani!!

silent

Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
6
Reaction score
0
habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo ukizingatia hivyo vipere haviwashi wala kuivaaa
 
noup ukizingatia sijawahi kusex na mwanamke

basi inabidi uwe unafua nguo za ndani i mean usizivae kwa muda mrefu other wise wataalamu watakuja kukupa aina za dawa ambazo unaweza kutumia
 
Siwezi Kukushauri tiba bila kujua chanzo. Usione aibu nenda hosptal kamweleze dk. Kinaga ubaga. Utapimwa na kupewa tiba. Usipopata na fuu ndo initafute. But hosptal kwanza usilete mchezo na ikulu mdogo wangu act fast.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…