GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Wadau wa JamiiForums habari yenu,
Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009.
Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo mafanikio kila "Password" nimejaribu.
Je, kuna mtu anaweza niambia nifanye nini? Maana nimejaribu kutumia Winzip na Winrar Password Remover hazijaweza kunisaidia.
NB: Ni madini muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa hili.
Asanteni sana kwa msaada wenu.