Kulala siku moja tu haitoshi hasa vile ugumu wa hio passowrd ulioisema, to be honest inaweza chukua hata miaka kama pc yako haina uwezo mzuri.Inaweza kuwa ilikuwa na
1. Cap letters
2. Letters
3. Numbers
Hivyo vitu vitatu. Kwa special character sidhani. Nimejaribisha passwords nyingi sana zimekataa. Miaka yote hii toka 2010 najaribu kufungua inashindikana. Kwa hizi password removers sometimes mpaka inalala ina search but it come to fail.
Mimi mpaka leo niko naliangalia file languu hapa hata sielewiiii cha kufanyaa njia zote zime goma.Wadau wa JamiiForums habari yenu,
Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009.
Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo mafanikio kila "Password" nimejaribu.
Je, kuna mtu anaweza niambia nifanye nini? Maana nimejaribu kutumia Winzip na Winrar Password Remover hazijaweza kunisaidia.
NB: Ni madini muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa hili.
Asanteni sana kwa msaada wenu.
Kweli kabisa. Msaada usikwamie tu huku jf.Redio ikiharibika unapeleka kwa fundi redio!
Kama hayo mafile ni ya muhimu sana andaa hela nenda kwenye vyuo vya maswala ya IT kawape kazi wakufungulie.
Emu nitumie hilo file lako kwa makubaliano maalumuKweli kabisa. Msaada usikwamie tu huku jf.
Basi hakuna haja ya kuweka milango maana wavunja milango wapo!!😅Hapo maana ya kuweka password itakuwa imeondoka.
Hashcat ila hata mimi sijawahi kuitumia, nasikia tu ni gpu accelerated na inaweza ku exploit weakness ya zip encryption, wataalam lakini wanasema ina steep learning curve hivyo utahitaji uvumilivuWewe unaweza tumia app gani if you can help me.
Mkuu kama uko serious basi nicheki sirini, haya mambo hayawekwi hadharani nitauwawa.Itabidi uondoke duniani. Hata usitamani kuona hizo siris zilizomo ndani.