Nahitaji msaada wenu wanajamii, nataka kuanza kufanya biashara.

Nahitaji msaada wenu wanajamii, nataka kuanza kufanya biashara.

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wanajukwaa, mimi nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza juice ya maembe ila sijafahamu wapi exactly yanapopatikana maembe ya biashara..msaada tafadhali.....Naishi Kinondoni Dar..
 
Back
Top Bottom