Nyam Senior Member Joined Jul 9, 2012 Posts 134 Reaction score 72 Jan 2, 2014 #1 Habari wanajukwaa, mimi nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza juice ya maembe ila sijafahamu wapi exactly yanapopatikana maembe ya biashara..msaada tafadhali.....Naishi Kinondoni Dar..
Habari wanajukwaa, mimi nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza juice ya maembe ila sijafahamu wapi exactly yanapopatikana maembe ya biashara..msaada tafadhali.....Naishi Kinondoni Dar..