Nahitaji msaada wenu


pole dada i hope utapata msaada, na utafurahia mavituz kama wengine. Ikibidi ulie kilio cha utamu wa kweli. all the best
 

Bonge la point
 
Pole sana dada yangu kwa yote,kinachokuharibia ni kumbukumbu ile ya kwanza,jaribu kumtafuta Dr Nelson ambaye huwa anakipindi R F A na STAR TV,oficni kwake huwa uwanja wa nyamagana MZA,atakusaidia tu,amesaidia watu wengi wenye matatzo kama yako,nakuombea upone ili ufaidi raha za cta kwa cta,mi ni hayo tu.
 
Hapo mpendwa huna tatizo lolote ni mawazo yale ya siku ya kwanza tu. Hebu ni PM nikuulize maswali fulani mimi niliwahi kuwa na tatizo km lako
hey DA, kama una maswali wewe ndio umPM na siyo yeye tena, yeye atakuPM nini?
 


Guilty conscience may be!?? n u r not yet married..mpaka 33, unagawa bado unasubiria ku-enjoy!?????????????????????????????
 
Hamna hajapata tu mzizimaji wa uhakika, na nyie wanaume ukikuta ambae hana maujuzi, kidogo tu utasikia hidhoooo, tayari kamaliza, au vile sekunde mbili tu tayari hapo hakuna cha raha wala nini.


Tatizo watoto kama hawa ambao hawajatumika sana kuwapata ngumu sana, kama huyu ndo ashachukuliwa!!!!
 
Nawashukuru wote mliotoa ushauri nitajitahidi sana kuufanyia kazi. Ila Bado naendelea kusikia toka kwenu.
 
Hajapata mchumba

Si ndo hapo..na bado anaendelea kumegwa tu kishkaji! sasa uta-enjoy how wakati malezi ya Kikristo ni hakuna ngono mpaka ndoa!?? Dada, ulifanyallo we wajua ni dhmabi..hivyo huna uhuru wala raha wakati unapofanya since all memories of what you were taught zinakuja!!!
Hebu tulia, umpate mumeo..uone kama hutaenjoy tendo hilo...it was meant for that time! after that ukija kusema kwamba bado huna raha, then..and only then will I consider it a psychological problem.
Otherwise,..fuata shauri za wengine hapo juu but mimi najua what u said first holds the whole truth!
Ubarikiwe...
 
Hayo ni mawazo tu dada huna ugonjwa wowote hapo. Futa hizo fikra za siku ya kwanza yatakwisha kabisa
 
Guilty conscience may be!?? n u r not yet married..mpaka 33, unagawa bado unasubiria ku-enjoy!?????????????????????????????

Vitu kama hivi, yani maneno kama haya huwa hayanibariki, wala hayanipi furaha, yanapowekwa kwenye madaya mtu ambaye anaelezea tatizo kama hili na anahitaji msaada. Kusema ukweli kama mtu hupendi kuwasaidia wenzako bora unyamaze.

Soma habari uielewe, na usikie mzigo ndani yako ya kumsaidia mtu, sio kugongea msumari kwenye kidonda.....

Mmmmmmm huijui kesho yako......
 
Itakuwa vzuri ukimshirikisha mwenzio juu ya tatizo lako na pia jitaidi kuondoa mawazo wakati wa 2kio akili yako yote unatakiwa uizamishe kwenye tukio
 
Nashukuru kwa ushauri wako. Huyo Dr. Nelson Nitampata wapi? Tafadhali nisaidie.
 
Nashukuru kwa ushauri wako rafiki nafikiri hili ndo tatizo haswaaaa. Maana kusema ukweli naona natenda dhambi. Mungu nisaidie nipate wa kwangu niweze ku enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…