Nahitaji msaada wenu

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Wiki chache zilizopita ,x wangu mimba iliharibika na sasa mwezi umeisha bila kuziona siku zake ,je inawezekana ana ujauzito au niendelee kusubiri mabadiriko ya mwili Nawasilisha wapenzi
Goodnight to all
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu na maex zao
 
Wiki chache zilizopita ,x wangu mimba iliharibika na sasa mwezi umeisha bila kuziona siku zake ,je inawezekana ana ujauzito au niendelee kusubiri mabadiriko ya mwili Nawasilisha wapenzi
Goodnight to all

mimba baada ya kuharibika alisafishwa?
Je alijiunga na njia yoyote ya uzazi wa mpango?

Maana unaweza kudaka mimba nyingine ndani ya siku 11 baada ya mimba kutoka na outcome ya hiyo mimba ya pili inaweza isiwe nzuri sababu kizazi kinakua hakijakaa sawa isitoshe ile sababu ilofanya ya kwanza itoke inaweza kuwa bado ipo na hii ikaishia kuharibika!

Kwa sasa nakushauri uende Pharmacy umnunulie huyo mtu wako UPT strip umpime mimba...haitaji utaalamu wowote ni binti kuikojolea hiyo strip au kuweka mkojo kwenye kikopo kidogo nakuichovya...ikichora msitari mmoja basi asiwe na shaka perido zitarejea japo zimechelewa!

Ila iwapo iko positive hiyo nayo ni ishara mbaya yaweza kuwa mimba mpya au ile ya zamani ilikua Pseudo Pregnancy ambazo huwa zina persist kwa kitaalamu tunaita Gestational Trophoblastic disease!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…