Nahitaji msaada wenu

David Mgeni

Senior Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
104
Reaction score
138
Samahani ndugu zangu nina ndugu yangu ana ujauzito ila anatokwa damu ukeni je naweza kupata msaada wenu NB:yuko vibaya kiuchumi
 
angeenda hosptali mkuu dah kuna demu nlimpga mimba aliptiaga hy hali alienda hosptl akapat dawa akawa sawa tu
 
I think kuna shida katika kizazi ni dalili mbaya mimba kuharibika kutokana na kizazi kulegea yaani kizazi kutokuwana uwezo wa kubeba mimba so wahi hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…