chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
nachomaanisha,nahitaj mmoja tu.nikimaanisha.mimi mkristo,pia wao.dahhhh
kuna show moja inaitwa "The Bachelor"
haina tofauti na ulicho andika hapo..
Anyway
umesha solve hili tatizo mwenyewe , umesema ya kwamba
unawapenda wote, nani mmoja tu anaeendana na dini yako.
Kama ingekuwa ni mimi ningeangalia ni yupi ntakae weza ishi nae
kwa amani na Je aninipenda kama ninavyompenda , Nsinge angalia
dini. ( lakini huyu ni mimi)
Maisha ni hali ya hewa tuna tabiri "forecast" lakini hali ya hewa inaweza
isije kama tulivyotabiri. . Chagu anaeendana nawe. na Kila lakeri na safari yako.
sasa kama dini yako inaruhusu mmoja mbona wewe unao wanne? Nalog off
Jaman mwenzenu nina girlfriend 4,wote wananipenda,nana wapenda.imefika mahali natakiwa kuchagua mmoja tu,kwa ajili ya ndoa,wawili wapo dar,na mmoja yupo masomoni china,na mwingine tanga,wote madent.ila hawa wadaa wote wafanyakazi.nimchague yupi?,wote wana vigezo vyangu.lakini dini yangu inaruhusu mmoja tu...Help
Badili dini uoe wote 4. Ukianza kupata marital problems urudi tukushauri. Japo nahisi ukiwaambia ukweli utashangaa nao kila mmoja alikua na wake, ww ndo ulikua spare tyre. Kwa hiyo andaa moyo wako, nyundo ya kupasulia mawe nayo hupasuka
Fuata moyo wako, wewe mwenyewe unalo jibu moyoni nani anakufaa.
sasa kama dini yako inaruhusu mmoja mbona wewe unao wanne? Nalog off