Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
is your research for academic reasons or for a business plan
Habari zenu ndugu wapendwa,
Ninafanya utafiti kuhusu biashara ya Vyakula vya nafaka kama mchele,maharage unga n.k
Kama kuna yeyote mwenye idea na hii biashara nitakushukuru kama nikipata uzoefu.
Utafiti ni wa kuanzisha duka la vyakula hapa Dar es Salaam na ningependa kujua hasa soko,location nzuri ,manunuzi n.k.
Asante
Mkuu hebu kasome kwenye red pale kwa sauti na urudie mara mbili kama utakuwa bado hujaelewa.is your research for academic reasons or for a business plan
Kwa kweli umeikurupukia hii habari maana alichokieleza hapo juu kinajibu swali lako embu isome kisha uondoe swali lako!
unaweza kufanya utafiti wa kuanzisha duka la vyakula kwa ajili ya masters degree au hata first degree ..... ukaandika kitabu na kutoa recommendations
ninachouliza hapa hujaelewa, je utafiti huu ni kwa kukidhi wazo la biashara au kwa ajili ya matakwa ya takwimu za kibiasashara
Mkuu hebu kasome kwenye red pale kwa sauti na urudie mara mbili kama utakuwa bado hujaelewa.
Bibie Zion Daughter kwanza nikupongeze kwa kuwa na mkakati wa kuwa mjasiriamali. Biashara ya kusubiria vimshahara vya wakoloni samtaimz ni utumwa mwingine. Labda ungeweka wazi hasa unalenga kufanya biashara ya Jumla au rejareja ili wajuzi wamwage mapwenti ya kukusaidia zaidi.
Mungu akutangulie katika mkakati wako (Siku hizi nimeshakuwa mtu mzima)
Pouwa.... wasipokupa mapwenti usisahau kunidipu nikupe mapwenti ya kimangimangi.:spy:Asante mpendwa wangu..Naona unakumbuka wajibu wako vema....
Katika hili swali la nyongeza naomba nikujibu kuwa nataka nifanye biashara ya rejareja...Nasubiri mapweinti kwa hamu kubwa...
Pouwa.... wasipokupa mapwenti usisahau kunidipu nikupe mapwenti ya kimangimangi.:spy:
is your research for academic reasons or for a business plan
Yaani wewe nahisi ulipomaliza shule waalimu wako walishukuru Mungu!unaweza kufanya utafiti wa kuanzisha duka la vyakula kwa ajili ya masters degree au hata first degree ..... ukaandika kitabu na kutoa recommendations
ninachouliza hapa hujaelewa, je utafiti huu ni kwa kukidhi wazo la biashara au kwa ajili ya matakwa ya takwimu za kibiasashara
Yaani wewe nahisi ulipomaliza shule waalimu wako walishukuru Mungu!
Huelewi na haujielewi pia!
dah ... wewe ni mwerevu sana ... hongera sana ... soma reply ya mleta mada kwa swali langu ... amejibu sawia na yeye ni muelewa kuliko king'asti ... sijui nani hapa hajielewi