Jaribu google au tafuta mtu mwenye simu kama hiyo alafu "desa" vitufeNdugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea hakuna options za lugha nyingine. Sasa kama kuna mmoja wenu anaemfahamu dealer hapa Dar anaeweza kunibadilishia iwe na lugha ya kiingereza aniarifu tafadhali kupitia JF au anitumie email to irangia@yahoo.com
Nimei-google sijui kama itakusaidiaNdugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea hakuna options za lugha nyingine. Sasa kama kuna mmoja wenu anaemfahamu dealer hapa Dar anaeweza kunibadilishia iwe na lugha ya kiingereza aniarifu tafadhali kupitia JF au anitumie email to irangia@yahoo.com