NTABO wa NTABO
Senior Member
- Jun 25, 2017
- 191
- 221
Hapo tuu ndo panasumbua, muda unanibana sana nina shamba langu Masasi kila nikipiga hesabu kupata muda mambo yanakataa, ajira inakabaUkiwa na muda huna ufanisi na mtaji...ukiwa na mtaji huna muda...ukiwa na muda na mtaji sio mchapakazi...
Una mawazo mazuri...utafika mbali zingatia male go yako.
hongera sana kijana, chamuhimu ni updates tu ili vijana wapate inspiration spirit, naimani mtafanikiwa tuAhsanteni, Nilishapata Mshirika, Na Kazi Imeshaanza,