abby abdy
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 40
Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nilipoishia, nilikua nataka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na hela ya kulipia eneo la bishara hivyo kama kuna mtu naweza kuja na kuweka hela yake katika kulipia eneo na mtaji
Mimi ntatoa vitu nilivonunua na tutafanya kazi wote nikiwa kama mfanyakazi kwa miezi 4 na kumsaidia nayeye anunue vitu vake. Max ya hela ya mtaji ni laki 1 na pesa ya pango inategemea na kodi na atapopata kuweka biashara.
Mimi nipo Dar Magomeni Maji ya Chai-0714914799