Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo.

Tuwasiliane kwa namba 0713851751
 
nikuchangie neno sio pesa.... andiko lako halina mashiko ya kumshawishi mtu.... kwnn awekeze uko, una uhakika gn juu ya mrejesho wa pesa yake, makadirio mazima ya uwekezaji n kiasi gn (budget)...
kwa andiko lako nyoka hawezi akatoka pangoni.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…