jong 255
Member
- Jul 31, 2017
- 98
- 49
Habari zenu wanajamvi,
Natumai nyote ni wazima bila kupepesa macho nakwenda moja kwa moja kwenye mada aisee shida yangu mimi ni msichana tu awe mpenzi.
Nikwamba ni mda mrefu sana niko single hasa dah upweke noma alafu ukiangalia hata jamaa zangu wanahisi labda nina tatizo manake hawamuoni shemeji mi ni ayo tu ila kama yupo aliesingle kama mimi au vipi anifate pm tuyajenge.
Mimi umri wangu ni 25 mjasiriamali, mfupi wastani binti ninaemtaka awe 25-18 dini yoyote ingawa mimi ni christian asiwe mrefu sana wala mfupi sana na asiwe mwembamba sana au bonge sana.
Sent using Jamii Forums mobile app