nahitaji msichana kwa ajili ya kazi stationery

samoramsouth

Senior Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
192
Reaction score
30
Umri----18-28
jinsia----ke
elimu-- secretarial course at least awe ana speed ya kuchapa kazi
sifa nyinginezo--- awe na heshima, muaminifu na mchapakazi.
Awe anaishi maeneo ya tegeta/ bunju-----
unaweza nitafuta humuhumu jamvini.
 
Mshahara utakuwa unamlipa sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom