Nahitaji msichana wa kuoa niko serious

kusangala

Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
60
Reaction score
26
Nina miaka 28, dini muislamu, kazi yangu ni mwalimu, nahitaji msichana wa kuoa awe na vigezo vifuatavyo awe muislam, awe na elimu kidato cha nne awe mweupe, wa asili siyo wa mkorogo awe hajazaa, umri asizid miaka 27, sichagui kazi awe nayo au awe mama wa nyumbani sawa tu, kwa aliye tayari ani pm.
 
[emoji23][emoji23]ngoja nilete ofa labda utanikubalia ila situmii laga.
hahahahaha, niletee hata ya kitu iliyopigwa marufuku juzi kama unaweza kuipata sehemu imefichwa, najisikia kutoa lock kichwani muda huu wa kazi, hahahahahahaahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…