Nahitaji Msichana wa kuwa naye kwenye mahusiano huru

Nahitaji Msichana wa kuwa naye kwenye mahusiano huru

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
606
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27 na mrefu.
Rangi- Mweupe
Elimu- Diploma ya ICT na Degree ya Sheria

Nipo serious nahitaji msichana/mwanamke serious ambaye yupo tayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.
SIFA:
-Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea
-Awe na kazi.

Please if you are ready and serious just DM me urgently.
 
Back
Top Bottom