Nahitaji Msimamizi na Marketing Officers wa kujitolea watakaowezesha kampuni yetu mpya kukua

Nahitaji Msimamizi na Marketing Officers wa kujitolea watakaowezesha kampuni yetu mpya kukua

Digital base

Senior Member
Joined
Jul 19, 2020
Posts
131
Reaction score
199
Habari ya leo wakuu,mimi ni mmiliki mwenza wa kampuni ya Jerusalem Company Limited iliyopo jijini Mbeya inayo jihusisha na mambo ya usafi wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufua nguo kwa Laundry and Dry Cleaner machine lakini pia usafi maofisini,usafi majumbani, usafi viwandani, usafi ulio shindikana kufanywa na watu wengine mfano msink ya chooni ama ya kunawia yaliyo fubaa ama kuwa na kutu isiyo toka kwa urahisi pamoja na tiles zenye kutu.

Lakini pia tuna tengeneza dawa za kung'arishia masink na tiles sisi wenyewe.

Na katika swala la msimamizi tunaye muhitaji awe na uzoefu katika uongozi wa biashara elimu kuanzia Diploma na kuendelea pia marketing officers watatu pia nao wawe na uzoefu katika masoko na mauzo.Elimu kuanzia Diploma na kuendelea.

Japo nimesema kwa kujitolea lakini ukweli nikwamba kwa mwanzoni hatuta lipa fixed salary tuta lipa kamisheni ndo maana nikasema wakujitolea.

Kampuni yetu inategemea kuanzisha shughuri zingine baada ya miezi 6 au zaidi ikiwa ni pamoja na real estate,finance services n.k.

Malipo nikutokana na revenue utayo generate.

Kwa utakaye kuwa interested unaweza tuma C.V zako kwa email hii.
travoradriano@gmail.com
 
Back
Top Bottom