Nahitaji mtaalam wa mambo ya sacket

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu habarini za kazi

Nina Gari yangu ni Fuso Super great, ilikuwa na shida ya kukosa nguvu ikitembea Kwa kilometres kadhaa.

Sasa fundi amekuja kupima akasema kuna baadhi ya sacket kwenye control box zimekufa.

Sasa naomba msaada wa mtaalam yoyote wa mambo ya electronics ambae anaweza kuingalia vizuri hii sacket akaona Kama kuna kitu anaweza kufanya.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…