Nahitaji mtaalamu wa saikolojia

Pole sana ndugu yangu, ila matibabu ya kwanza na ya uhakika yanatoka ndani mwako.
 
Instagram kuna kijana anaitwa barnabas nkinga huyo anaweza kukufaa.
Yuko dar recently
 
Habari Wana jamii.

Nahitaji mwenye address yeyote ya mtaalamu Wa saikolojia, ambaye anaweza kutuliza a real broken heart.
Akiwa Dar es salaam itakuwa vyema zaidi.

Ahsante.
Matatizo ni sehemu ya Maisha.
Acha kudeka na kulialia komaa, bila ubishi hapa duniani utateseka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…