Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Factory reset itoke kwenye hio versionNipo mwanza nina simu ya xiaomi k50 nataka kutoa kwenye mfumo wa hyper os nirudi kwenye miui 14 au 13. Anaeweza njoo inbox tufanye kaziView attachment 3133704
Hii sitaki maana inafanya simu imekuwa nzito na haitunzi charge sanaMbna hyper os ni kubwa zaidi mkuu
Haiwezi nishafanyaFactory reset itoke kwenye hio version
Wenzio.wanaupgrade wewe unataka kudowngrade why?Nipo mwanza nina simu ya xiaomi k50 nataka kutoa kwenye mfumo wa hyper os nirudi kwenye miui 14 au 13. Anaeweza njoo inbox tufanye kaziView attachment 3133704
Nimeona concern yake ni batteryna lagging; lakini kwa simu ya 5500mAh battey, Xiaomi watakuwa wamezingua kama kweliWenzio.wanaupgrade wewe unataka kudowngrade why?
Huwezo wa kukaa na charge umepungua nikazani ni simu yangu tu ila kuna sehemu nilisoma ata watu wengine wanalalamikia swala hilo pia performance sio nzuri sanaWenzio.wanaupgrade wewe unataka kudowngrade why?
Kipindi natumia MIUI simu ilikuwa na performance nzuri sana na ata battery ilikuwa vizuri nlikuwa naweza kuwasha data masaa 3 nipo online na simu ina 30% ila toka nimefanya update simu imekuwa haikai na charge nawez weka mfukoni nisitumie siku nzima nakuja kutoa ina 80% na sio kawaida. Kitu kingine me napenda kufanya matumizi makubwa kama kushoot maana simu ina 4k pia kucheza games kubwa so simu nikama ina nilimit ndio maana nipo tayari kutoa gharama huu mfumo utoke. Pia HyperOS haipishani sana na MIUI nimecheki youtube comparisonNje ya mada kidogo nataka kujifunza kitu, huoni kama utakuwa unajipunja kwenye upande wa software experience kwasababu kama wenyewe wameachana MiUI na sasahivi wanatumia HyperOS kwa devices zao inamaanisha solutions zote juu ya hardware ambazo ni compatible na HyperOS zitakuwa ngumu kupata ukiachana na hii UI. Utashindwa hata kuenjoy AI features kampuni inajaribu kuzipush kwa kuwa platform ya MIUI haitopata update tena na haijaandaliwa kwa hizi features mpya kampuni inapush.
Ingekuwa ni UI ambayo iko exclusive to market fulani ningekuelewa (kama vile OriginOS kwa matoleo ya Vivo phones), ila kwa case ya Xiaomi hiyo HyperOS ndiyo UI mpya na itatumika kwa masoko yote.
Kwa uelewa wangu mdogo kuiondoa ni sawa na kununua Blackberry zenye Android alafu kutaka kurudisha BlackberryOS.
Au kuchukua Dell XPS 14 alafu uweke window 7, mwenyewe unajua vitu vingapi utakosa kwasababu platform haikuandaliwa kuhandle kazi nyingi pamoja na kurun software kadhaa.
Kama hautojali ningependa kujua dhumuni ya kufanya hivyo,huwaga napenda kujifunza kuhusu hizi simu na kampuni zao.
Kwenye mfumo wa MIUI kila kitu kikikuwa sawa na nlikuwa najivunia hii simuNimeona concern yake ni batteryna lagging; lakini kwa simu ya 5500mAh battey, Xiaomi watakuwa wamezingua kama kweli
Hakuna update yoyote zaid ya kila mwezi wananiletea security update na hainisaidii kituNahisi kuna patches watarelease kusolve hiyo ishu hauko mwenyewe, Naona pia wewe uko na HyperOS 1.10.10.0 vipi haujapata 1.0.12.0 bado? Kama kuna any update fanya update ilo swala la kurudi MIUI liwe kwenye maamuzi ya mwisho baada ya kuona hata updates hazisaidii.
Mkuu kama vile kuna kitu unakijua fanya kunisaidia me nitalipia. Sina pc nipe tu muongoza taratibu nini chakufanya hadi nifanikiweNahisi kuna patches watarelease kusolve hiyo ishu hauko mwenyewe, Naona pia wewe uko na HyperOS 1.10.10.0 vipi haujapata 1.0.12.0 bado? Kama kuna any update fanya update ilo swala la kurudi MIUI liwe kwenye maamuzi ya mwisho baada ya kuona hata updates hazisaidii.
Hapo sasa sielewi chochote ndio maana nikataka kusaidiwa then me ntalipiaKama una PC ni simple sana huna haja ya mtu kukufanyia mkuu, weka bundle download ROM, download drivers, MIUI flash tool na tutorial mbili, Boom tayari.
Wanajiandaa taratibu yasije wakuta ya HuaweiWachina kweli wamewachoka wazungu Huawei ameng'oa Android kabisa na naona huyu naye anafuata taratibu. Tafuta fundi yoyote anayefanya hizi flashing kuna video YT za jinsi ya kufanya hiyo downgrade ila inabidi uweze kuinlock bootloader kitu ambacho Harmony inataka kupiga marufuku na ikifanyikiwa utapoteza data zote za hakikisha una backup.