Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration.
Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha website zangu kutoka Hosting wa sasa na kuzipeleka Kwa hosting mwingine.
Kwa yeyote aliyekuwa tayari tuwasiliane haraka iwezekana.
Nicheki hapa tuyajenge: contact@thewpskill.com