Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Dear all
Mimi ni irrigation engineer, natafuta sana software fulani inayoitwa IRRICAD kwa ajili ya irrigation design (pressurized irrigation). Najua humu kuna kila aina ya watu. Kwa hiyo mwenye nayo msaada tutani please.
Nimejaribu sana kutafuta cracked version online bila mafanikio maana hii sio popular software.
Nawakilisha