International
Member
- Feb 7, 2019
- 33
- 51
Fursa ipo. Location ni nzuri na inavutia biashara, nakwama kwenye huduma ya uhakika tu ili kukamata soko kikamilifu.
Uhitaji wa mtaji ndio kipaumbele changu kwa sasa. Ni milion kumi tu ndo nahitaji. Iwe ya riba nafuu na masharti yanayo timizika.
Nipo Dar es salaam. Biashara ni stationery, anayeweza nipa msaada wa taasisi inayoweza toa mkopo kwa kiwango hicho angalau na mimi niongeze huduma na vibarua angalau wawili ili tufike mbali na tutanue huduma zaidi.