Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
hahahah unazingua wewe komaa mkuu ata biblia iliandika kwan adam alipo ambiwa utalima kwa tabu alipewa hela??Habarini ndugu, kama kuna mtu anakopesha fedha naomba anisaidie. Mimi niko mwanza ila nina shamba la ekari moja la mpunga huko katavi na kuna pesa kama laki mbili nilikopesha kwa watu ambapo elfu 20000 ni sawa na gunia moja. Sasa mwezi wa sita naelekea huko kuvuna na kukusanya nilichokopesha kwa watu ila nina mpango wa kununua gunia angalau zifike mia, sasa wadau kama kuna mtu anaweza kunikopesha 5000000/= .
SawaAndika maelezo yako vizuri mkuu. Ukifanikiwa hilo mie nitakuelekeza wapi utapata mkopo kwa uhakika na fasta..