Nahitaji mtoto wa kiume!

Nahitaji mtoto wa kiume!

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Habari wapendwa..

Nahitaji kupata mtoto wa kiume, nimesikia kwa watu mbalimbali kuwa mtoto wa kiume anapatikana siku ya 14 baada ya mwanamke kumaliza MP Cycle. Pia kuna wengine wanasema mtoto wa kiume anapatikana kwa baadi ya miezi.mfano miezi shufwa ni watoto wa kike na miezi witiri ni mtoto wa kiume.

Wengine wanasema kuna aina fulani ya ute ndiyo inaashiria ni mtoto wa kike au kiume unaweza kumpata.
Sasa nipo njia panda, naombeni the right-way, ila katika yote ninaamni pamoja na biologia yetu ya kibinadamu mwisho wa yote kumwomba Mungu ndiyo suluhisho la matatizo yote.

Asanteni kwa michango yenu!
 
Ngoja.

Waje wajuzi lkn kumbuka mtoto usiyemtaka wewe kuna wengine hawajajaliwa hata mtoto mmoja na wahaha usiku na mchana.

Zaidi muombe Mungu maana yeye ndiyo anajua kesho yetu anaweza kukupa utakacho.
 
mke ale vyakula kama ndizi kwa wingi na wewe siku ya tendo pata kahawa nusu saa kabla ya tendo ili kurekebisha ph
 
Habari wapendwa....
Nahitaji kupata mtoto wa kiume, nimesikia kwa watu mbalimbali kuwa mtoto wa kiume anapatikana siku ya 14 baada ya mwanamke kumaliza MP Cycle. Pia kuna wengine wanasema mtoto wa kiume anapatikana kwa baadi ya miezi.mfano miezi shufwa ni watoto wa kike na miezi witiri ni mtoto wa kiume. Wengine wanasema kuna aina fulani ya ute ndiyo inaashiria ni mtoto wa kike au kiume unaweza kumpata.
Sasa nipo njia panda, naombeni the right-way way, ila katika yote ninaamni pamoja na biologia yetu ya kibinadamu mwisho wa yote kumwomba Mungu ndiyo suluhisho la matatizo yote.

Asanteni kwa michango yenu!
Kwa nini "unahitaji" mtoto wa kiume?
 
haya mazee, ngoja wataalumu wakuje, Hiyo ni kazi ya mungu mazee hakuna formula, kuna mambo mengi sana ya kuangalia, btw mtoto na mtoto
 
mkuu kupata mtoto wakiume fanya hivi..
-jua kwanza siku za mkeo (za cycle nzima)..mara nyingi huwa zinarange 26-32...sisi tuassume anasiku 29
-chukua hiyo 29 toa 14 unapata 15 (29 - 14=15)
-hiyo siku ya 15 ndio siku ambayo yai linatoka (ovulation)
-sasa mkuu hiyo siku ya 15 ndio siku ambayo kuna uwezekano mkubwa wakupata mtoto wakiume.
ANGALIZO
-usifanye tendo la ndoa siku 3 kabla ya hiyo siku ya 15,yani usifanye siku ya 12,13 na 14...subiria hiyo siku ya 15 ndo upige kitu cha ukweli..
NB:
-siku huwa zinahesabiwa kwaanzia ile siku ya kwanza kupata hedhi,kwahiyo hapo tunaposema siku ya 15 tunamaanisha siku ya 15 baada yakupata hedhi.
-tumechukua hizo siku(29) kama mfano tu,hivyo inategemeana na mwanamke anasiku ngapi.
 
Real nimefrai kuisoma hii kwan naona nimepata kipya, ila kwa mi nnavyojua mtoto wa kiume anapatikana cku 14 baada ya hedhi kwa mwanamke, na unashauriwa baada ya tendo ucnywe maji labda baada ya masaa kadhaa ndo unywe.
 
Back
Top Bottom