Habari wapendwa....
Nahitaji kupata mtoto wa kiume, nimesikia kwa watu mbalimbali kuwa mtoto wa kiume anapatikana siku ya 14 baada ya mwanamke kumaliza MP Cycle. Pia kuna wengine wanasema mtoto wa kiume anapatikana kwa baadi ya miezi.mfano miezi shufwa ni watoto wa kike na miezi witiri ni mtoto wa kiume. Wengine wanasema kuna aina fulani ya ute ndiyo inaashiria ni mtoto wa kike au kiume unaweza kumpata.
Sasa nipo njia panda, naombeni the right-way way, ila katika yote ninaamni pamoja na biologia yetu ya kibinadamu mwisho wa yote kumwomba Mungu ndiyo suluhisho la matatizo yote.
Asanteni kwa michango yenu!