Nahitaji mtoto

Hiyo bhange unayotumia inakupa akili sana! Nigawie na mie kiduchu,lol!
 
rejao bni mtu mkubwa sana hapa hata invisible na paw wanajua akilogg off hata server huwa inagoma utaona tu inaandika we will be back after 5 min ukiona hivo jua rejao kasign outso omba asife maana itakuwa ndo mwisho wa jf
Kwa ujiko huo uliompakulia Rejao bila ya shaka anakaribia kuchukua Ikulu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
 
Hiyo bhange unayotumia inakupa akili sana! Nigawie na mie kiduchu,lol!
halafu kweli jamaa linaweza kukuchakachua tu lifaidi kwanza siku hzi nasikia wanaume nao wanameza vidonge vya kuzuia mimba,linameza then linakuja kukuchakachua mweelabda tufanye artificial insermination
 
Hainogagi kwa binadamu hiyo.
 
Rejo yaani tayari umeshajimilikisha!!!! Halafu mtoto smile mpaka sasa sijaona pingamizi lake.
Kwanini apinge eboo... nishamlilia sana..huoni hizi posts zote? asilimia kubwa zipo directed kwake! Ana PM zangu kama 1000 hivi
 
nampenda rejao wewe he is the reason for global warming in my heart
Duuuuuh kumbe ndiyo maana Rejao anavurumisha post bila woga aiseeeeeeee. Kupendwa kuzuri bwana ngoja na mimi ni hunt wangu atakenipenda na kuanzia sasa mtu atayeiona post jinsia tofauti nami akinipenda aniPM tutete kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.
 
nampenda rejao wewe he is the reason for global warming in my heart
Afadhali umesema my sweet wangu...hapa nasikia tu nywele zinacheza cheza kila nikisoma maneno yako!
Baadaye nitakuletea askrimu..
 
Jitahidii...utampata tu! wapo wengi sana, si unajua tena wao wametuzidi kwa wingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…