HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Unaweza nisaidia namba yake sababu siko dar,plz!Nenda Tandale ukitokea Sinza baada ya junction ya kwenda Kijito Nyama uliza garage kwa Kileo. Anakata hizo gari
Unawashwa eti?Nenda Tandale ukitokea Sinza baada ya junction ya kwenda Kijito Nyama uliza garage kwa Kileo. Anakata hizo gari
Kileo 0674016629. Upo mkoa ganiUnaweza nisaidia namba yake sababu siko dar,plz!
KataviKileo 0674016629. Upo mkoa gani
Unawazimu eti?Nenda Auto rover, otherwise unamiliki wrong car for you, Toyota is where you deserve.
Unawazimu eti?
Nashukru nimempata,asante sana!!Kileo 0674016629. Upo mkoa gani
Umefanikiwa kupata spareNashukru nimempata,asante sana!!
Yes nimepataUmefanikiwa kupata spare
toyota ndo brand zetu mkuu na mtu akijichanganya kutaka utofauti akubali kubeba gharana zakeNenda Auto rover, otherwise unamiliki wrong car for you, Toyota is where you deserve.
toyota ndo brand zetu mkuu na mtu akijichanganya kutaka utofauti akubali kubeba gharana zake
Mbambambaa.Acheni kugeneralise mambo. Kwani watu wangapi wenye Toyota wanaenda kutengeneza magari yao kwa mawakala wa Toyota Tz?? Wanagapi wana huo ubavu?? Au wangapi wananunua spare original za Toyota au kwa mawakala rasmi wa Toyota hapa nchini?? Tukisema na wa landrover aende CMC basi na wenye Toyota waende Toyota tanzania, wa suzuki waende CFAO n.k
Kwa nini iwe kitu cha ajabu kwa mtu mwenye gari tofauti na toyota kuulizia spare au mafundi kwenye forums?! Mbona wa toyota wakiulizia spare au mafundi hatuoni hizi comments za kubeza watu.?!!
Mtu ameomba msaada wa spare au fundi mnaanza kubeza choice yake, nadhani si uungwana, sioni logic. Mbona amepata sasa bila kwenda CMC?!!
Yes kuna magari kuyamantain ni ghali zaidi ya mengine ila bado sioni haja ya kumbeza mtu anapoulizia options za kuminimize maintenance costs.
Mbambambaa.