Nahitaji mtu aliyepo Zanzibar anayeuza dagaa nyama. Unamjua?

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Habari wakuu!

Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko huko visiwani. Mimi nipo Dar es salaam. Mwenye namba za huyo mtu naomba.

Ahsante
 
Dagaa au uono? Hakuna dagaa wa nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…