Nahitaji mtu ambaye yuko serious ambaye tunaweza fungua kampuni ya ushonaji (tailor)

IBRHYMEZ

New Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
1
Reaction score
0
mi ni mwanafunzi wa chuo cha engineering and technology! mwaka wa tatu, kiukwel natafuta mtu ambaye yuko serious ili kufungua kampuni ya ushonaji! nimeinvestigate vya kutosha! mtu yeyote ambate yuko tayari anitafute kwa namba ya simu 0654850886
 
Mkuu,fafanua zaidi.

Kampuni ya ushonaji unamaanisha? Tailoring? Au kampuni ya vifaa vya ushonaji?

Hiyo introduction yako ya kua mwanafunzi wa engineering imeleta mkanganyiko wa kuunganisha na kile ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…