nahitaji mtu anaeuza biashara yake kwa mtu mwengine

missfancy

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
33
Reaction score
5
mimi ni mkazi wa arusha ninahitaji mtu anayeuza biashara yake kwa sababu ya msingi biashara hiyo iwe katikati ya mji na isizidi mil2 naomba mwenye information ani PM anipe maelekezo.asanteni
 
nina duka hapa hostel mabibo,kuna friji,shelves na meza ya mbele.
 
mimi ni mkazi wa arusha ninahitaji mtu anayeuza biashara yake kwa sababu ya msingi biashara hiyo iwe katikati ya mji na isizidi mil2 naomba mwenye information ani PM anipe maelekezo.asanteni

biashara yoyote? na hiyo biashara ya kuuziwa milioni mbili katikati ya mji arusha ni biashara gani ndugu yangu kama siyo kutafuta kushikishwa tu?! tafuta pesa utafute chumba uanze biashara, hiyo milini mbili chumba cha bei rahisi kabisa ni pango la mwaka mmoja tu! au ulikuwa unamaanisha milioni ishirini? hata mtu mwenye kimeza cha mpesa na kusajili laini hawezi kukuuzia location yake kwa milioni mbili kama ina mzunguko mzuri, unaponunua biashara yamtu ujue anakuuzia mpaka wateja!
 
kwa mimi naamini ntapata coz ishatokeaga ya mil2 internet cafe sema sikua tayari muda uo
 
nina duka hapa hostel mabibo,kuna friji,shelves na meza ya mbele.

Mkuu embu nipe specific location ya biashara yako kwa hapo hostel.

Ipo pale nje ya geti la hostel zinapo paki shuttle(mabasi) ya wanafunzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…