Nahitaji mtu anayejua kilimo, kulimia mboga, kutafuta masoko

Nahitaji mtu anayejua kilimo, kulimia mboga, kutafuta masoko

Habari.

Kama unajua kilimo cha mboga mboga na unajua fursa jinsi ya kupata masoko n.k ila umekwama nyenzo ,sehemu ya kupigia kazi hiii ni yako.

Nahitaji mtu anayejua kilimo, kulimia mboga, kutafuta masoko, mtu anayejituma mpiga kazi sio wa kusukumwa.

Nina eneo , chanika,yapata 3/4 heka, maji yapo ,na pembejeo tuta discuss upatikanaj wake.

Njoo tuingie ubia, tupige kazi, tuta gawana asilimia ya mauzo.. Hakuna ataye kulangua tuta share vizuri kabisa. Check pm kama upo interested.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good idea tatizo muda
 
Back
Top Bottom