Tatizo ameshajazwa mimba kwenye kuruka ruka, hamna kijana anaejielewa atabeba mtu na mwanawe kwa ajili ya maisha..game inaanza 1 bila.Una mtoto tena wapo vijana tumetulia tatizo mtoto
Wazee wa Quarter Mile ama 0-60 wamepenyeza sana rupia na kuchapa windows😅😅😅 mtoto kaona isiwe tabu!Hadi unakubali mwenyewe, inamaana hit and run zimepigwa za kutosha
Eeenh huyo malaika baba yake amekufa mwaka gani?
Kwenye kutulia sasa na hii dec
😁😁😁😁 ukoroooofiiii huoNeno. Atulie from December to March
Awanyie shopping ya mwez December
Alpe kodi
Awaandae watoto shule
Akomaze mahitaj had march alafu muachane.
25 years tayar ume quite kupat mume .
Watu washnde mechi zA0
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Umemharibia tayariKwa nyuzi zote za huyu dada nilizopitia nahisi namjua ni dada mmoja anaependa mafanikio bila kufanya kazi nilishawahi kubadilishana nae mawazo na kumshauri Sana ila hakuwahi niambia kama anamtoto ila location anazotaja nahisi namjua
Salome popote ulipo kama ni wewe nakushauri acha hizo mbishe kwanza ni mdada furani mjuaji mwenye sauti ya ukali na nilimwambia hicho sikumficha kama ndo wewe ndugu ushauri wangu ni uleule pambana dada hela yako tamu kuliko ya mtu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wazee wa Quater Mile ama 0-60 wamepenyeza sana rupia na kuchapa windows[emoji28][emoji28][emoji28] mtoto kaona isiwe tabu!
Nafikiri tuzungumze baada ya pasaka😅Habarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
Kwa jibu la namna hii wewe ni una tatizo kubwa usije ukatuulia babu yetu kabla ajaimaliza pension yake.Nishajitathimini na haya ndo maamuzi yangu,thank you.
Nipo hapaHabarini wapendwa,kama kichwa kinavojieleza nahitaji mtu mzma wa kutulia nae nimechoka hekaheka za vijana na uwongo wao.
Mtu mzma ninaemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 45 mpaka 60,dini yoyote,kabila lolote pia awe anajiweza kiuchumi.
Mimi ni single mama wa mtoto mmoja niko na 25 years dini ni mkristo pia ni mjasiriamali.
Note:Awe tayari kucheck afya pia nahitaji wa kutulia nae sio hit and run
Serious inbox me
TunafananaIli aweze kunihudumia huduma ninazostahili as his partner,vijana me hapana kwakwel uongo mwingi iman kwao imekufa let me try huku kwngne nionee
How?Tunafanana
All we men are liars, differs only in some degreesHow?
Unaendeleaje?How?