Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Kuna Mmoja Alisema Umri Unamtupa Anafikisha 30 Lazima Azae
Sasa Alipozaa Yule Jamaa Kakimbia Anahaha Mwenyewe
 
Nna 34 vp naweza kujaribu bahati yangu?
 
At 25 wewe Ni single Mother Na umeshachoka hekaheka? Hizo heka heka ulianza Lini? Hemu achana Na watu wazima kwanza; rekebisha matatizo yako kwanza maana hata hao Vijana hawana shida; wewe ndo una shida.
Mkuu hapo kaanza na 15yo tufanye approximately
Kwa mwezi wanaume 2×mwaka miez 12
=24
Kama mwaka 1=24
Je miaka 10=?
1×?=24×10
?=240
Dada umedate na wanaume 240 na unataka mmoja wa kutulia naye acha masihara
 
Mkuu hapo kaanza na 15yo tufanye approximately
Kwa mwezi wanaume 2×mwaka miez 12
=24
Kama mwaka 1=12
Je miaka 10=?
1×?=12×10
?=120
Dada umedate na wanaume 120 na unataka mmoja wa kutulia naye acha masihara
Mawazo yako siwez kukupinga
 
Reactions: Lee
Mkuu hapo kaanza na 15yo tufanye approximately
Kwa mwezi wanaume 2×mwaka miez 12
=24
Kama mwaka 1=12
Je miaka 10=?
1×?=12×10
?=120
Dada umedate na wanaume 120 na unataka mmoja wa kutulia naye acha masihara

Kashenzy haka, eti kanatutaka watu wazima kaje katuue?
 
Wewe mwenyewe hujatulia huyo mme wa kutulia nae unampataje? Ungekuwa umetulia ungekuwa ushaolewa na jilani yako. Lakini kwa kukuona ni kicheche na umezalishwa kupitia ukicheche wako ndiyo hivyo tena. Hata hivyo pole shemeji.
 
nna kitu cha kukushauri kama hutojali njoo pm ila sina nia tuwe wapenzi, ni ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…