Nahitaji mtu mzima nitulie nae

Ili aweze kunihudumia huduma ninazostahili as his partner,vijana me hapana kwakwel uongo mwingi iman kwao imekufa let me try huku kwngne nionee
25 vs 45 parefu. Wapo watu wa makamo 35 mpaka 38 hapo wanakuwa wamesha experience mengi na kutulia. 45 ni kama baba yako asee.
 
Kwanini usiwe ww sawa kiuchumi, au isiwe moja ya kigezo pesa mtafute wote??

Unaitaji msaada sio mapenzi, bado haujui unapokosea.

Pole sana.
 
Ili aweze kunihudumia huduma ninazostahili as his partner,vijana me hapana kwakwel uongo mwingi iman kwao imekufa let me try huku kwngne nionee
Mahusiano sio lazima uhudumiwe, 25 una mtoto na hauna muelekeo mpaka sasa hv wa mahusiano.

Unachokitafuta sio sahihi, ushauri wangu jipe muda hata mwaka mmoja utakua na maamuzi sahihi.

Omba pia Mungu akupe mtu sahihi, ila ukitaka mtu mzima na kusema vijana hawajatulia sio sahihi, means kuna siku ukiwa na hayo mahusiano atatokea mtu utampenda na utaamuacha huyo mzee.

Jipe muda, jipe muda.
 
At 25 wewe Ni single Mother Na umeshachoka hekaheka? Hizo heka heka ulianza Lini? Hemu achana Na watu wazima kwanza; rekebisha matatizo yako kwanza maana hata hao Vijana hawana shida; wewe ndo una shida.
Kabisa..bado mdg, na ameshachoka ukikutana nae kwenye 30's inakuaje.

Ajipe muda wala asiharakishe, atulize akili kwanza.
 
Kama huna mpango wakuzaa tena nicheki tuyajenge
 
Sawaaaaa,thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…